Kumbukumbu za wateja
Hifadhi mawasiliano, vipimo, mitindo na historia ya oda katika sehemu moja.
Simamia wateja, vipimo, oda za nguo, advances, malipo, picha za mitindo na taarifa za wateja kutoka sehemu moja.
1,200+
Maduka ya ushonaji
20,000+
Oda zimekabidhiwa
Karibu tena
Wateja Wote
Kukusanya mapato
TSh 1.2MBaki Inayodaiwa
TSh 240KHalima Bakari (Vipimo)
Oda Na. #2045
SEWINGAina: Kitenge Max Dress
Kuchukuliwa: 24 Julai, 2026
Inafaa kwa aina zote za biashara za ushonaji
Ondoa fujo za makaratasi kwa mfumo thabiti na rahisi unaofanya kazi popote.
Hifadhi mawasiliano, vipimo, mitindo na historia ya oda katika sehemu moja.
Fuatilia hatua za ushonaji, advance, baki na makabidhiano kwa uwazi.
Fungua taarifa za wateja, picha za vipimo na taarifa za biashara kupitia simu yako.
Hakuna usanidi mgumu. Anza kutumia mfumo ndani ya dakika chache.
Fungua akaunti, weka maelezo ya duka na chagua vipimo unavyotumia.
Sajili wateja, weka vipimo na ambatanisha picha za mitindo na vitambaa.
Badili hali ya nguo kuanzia kukata na kushona hadi tayari na kukabidhiwa.
Rekodi advance na baki, kisha mjulishe mteja nguo ikiwa tayari.
Hakuna makubaliano ya siri. Lipia unachohitaji na badili kifurushi wakati wowote.
Kwa mafundi wanaoanza kuweka kumbukumbu kidijitali.
Kwa maduka yanayokua na yanayohitaji usimamizi bora wa fedha.
Kifurushi kamili kwa maduka makubwa yenye wateja wengi na timu.
Jiunge na mafundi wanaotumia Fundinguo kuratibu wateja, kupunguza madeni na kuongeza ufanisi.